Harmorapa Fans' Special Thread...

Anaspidi mpaka anapapita kwao, kwa mtindo huo mbona atatoka
 
Hata mi ghafla nimejikuta fans wa Hamorapa, hebu tupende wasichopenda wao ili tuonyeshe nguvu yetu kwenye industry, maana kila siku wanatuchagulia wao... Sisi Hamorapa tuu
 
Hahaha his manager bro, au unajua manager babu Tale tuu?
Mhaya kwenye ubora wake
 
Mama yako anampenda sana Huyo unayemtukana sokwe MTU.acha dharau kumtukana bwana ya mama yako.eti sokwe MTU.


Swissme
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahahaha Harmorappa kiboko ya mabisho sasa hivi anaondoka na Umber Lulu
 
Hahahaha Harmorappa anasema atakuwa na Collabo na harmonize
 
Duu hii ngoma imesimama.. Aisee.. Ki utani utani huyu dogo anatoboa walah
 
Rapa anayekuja kwa kasi sasa amesema mashairi ya nyimbo yake yanamaanisha kuwa mose Iyobo aliyemuita nyani ni mweusi mno na anahitaji ajichubue, alipoulizwa kuhusu yeye amedai yeye ni maji ya kunde hivyo hana shida

 
Kila MTU na mbinu yake ya kuishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…