Harmorapa Fans' Special Thread...

Harmorapa Fans' Special Thread...

Anaspidi mpaka anapapita kwao, kwa mtindo huo mbona atatoka
 
Hata mi ghafla nimejikuta fans wa Hamorapa, hebu tupende wasichopenda wao ili tuonyeshe nguvu yetu kwenye industry, maana kila siku wanatuchagulia wao... Sisi Hamorapa tuu
 
Aisee hua nafikiria sana kuhusu huyu bwamdogo sipati jibu, who is paying this girls to make nude photo with this boy, who is behind this, How does he/she benefit from this, Kama ni edited pics okey otherwise hii ishu ni kubwa kama ya vyeti feki, Ila timu ya dogo inatumia nguvu kubwa sana, I am sure harmorapa will go no where.
Hahaha his manager bro, au unajua manager babu Tale tuu?
Mhaya kwenye ubora wake
 
Mtaelewa tu WCBOO
BRbsZwKgB6M.jpg
 
Mama yako anampenda sana Huyo unayemtukana sokwe MTU.acha dharau kumtukana bwana ya mama yako.eti sokwe MTU.


Swissme
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahahaha Harmorappa kiboko ya mabisho sasa hivi anaondoka na Umber Lulu
 
Hahahaha Harmorappa anasema atakuwa na Collabo na harmonize
 
Duu hii ngoma imesimama.. Aisee.. Ki utani utani huyu dogo anatoboa walah
 
Rapa anayekuja kwa kasi sasa amesema mashairi ya nyimbo yake yanamaanisha kuwa mose Iyobo aliyemuita nyani ni mweusi mno na anahitaji ajichubue, alipoulizwa kuhusu yeye amedai yeye ni maji ya kunde hivyo hana shida

 
Back
Top Bottom