Harmorapa ni noma kiboko ya mabisho ananinginia na toto ambar luluHahahaha Harmorappa kiboko ya mabisho sasa hivi anaondoka na Umber Lulu
Wakongwe wenyewe washachoka watoto wadogo wanawakimbiza mchakamchaka mpaka wako hoii new.generation akina T.touch, mdogo wake Marco chali, lufa na wengine.Atatusua huyu kimasihala kabisa,maana wakongwe nao wanaenda nae sawa.
Leo kapewa ubalozi wa kinywaji kinaitwa Swala nashindwa kuattach picha
Ni kwa nini usimuombeeazuri badala ya mabaya?Huyu dogo mwisho wake utakuwa kama wa yule mwanamziki wa TAKEU! Naye alianza hivi lakini mwisho wake aliikimbia Tanzania.Mwisho wake ni mbaya sana.
Imelda Mtema wa GlobalSwali nililobaki nalo,
HIZO PICHA WAMEPIGWA NA NANI??
MBONA HAPO KWENYE PICHA KAMA AMEROJEKA BALAA, WAMEMFANYA NINI, AU ALIONJA SWALA
Ooh okImelda Mtema wa Global
Walimwambia akitumie kwanza kabla ya kuwa balozi wa kinywaji chaoMBONA HAPO KWENYE PICHA KAMA AMEROJEKA BALAA, WAMEMFANYA NINI, AU ALIONJA SWALA