Harmorapa Fans' Special Thread...

Harmorapa Fans' Special Thread...

Leo kapewa ubalozi wa kinywaji kinaitwa Swala nashindwa kuattach picha
 
Atatusua huyu kimasihala kabisa,maana wakongwe nao wanaenda nae sawa.
 
Atatusua huyu kimasihala kabisa,maana wakongwe nao wanaenda nae sawa.
Wakongwe wenyewe washachoka watoto wadogo wanawakimbiza mchakamchaka mpaka wako hoii new.generation akina T.touch, mdogo wake Marco chali, lufa na wengine.
Ngoja wamshikilie harmorapa labda atawasaidia kusikika
 
Inasasemekana kwamba katika kipindi cha mwezi mmoja uliopita jina harmorapa limetajwa mara nyingi zaidi ya jina Majaliwa.
 
Leo kapewa ubalozi wa kinywaji kinaitwa Swala nashindwa kuattach picha
Hamorapa.jpg


Ki masihara tu jamaa ndio anachomoka hivoo..
 
Huyu dogo mwisho wake utakuwa kama wa yule mwanamziki wa TAKEU! Naye alianza hivi lakini mwisho wake aliikimbia Tanzania.Mwisho wake ni mbaya sana.
Ni kwa nini usimuombeeazuri badala ya mabaya?
 
Back
Top Bottom