Harmorapa Fans' Special Thread...

Mwacheni dogo atusue, nakumbuka kuna Mzungu aliingia bongo na kuibiwa kila kitu hadi passport Ila siku anaondoka aliondoka na Acc. Yake Ina bi 3. bongo shamba la bibi.
 
oyoooooo tupo tupo mafans wa hatari wa harmo bastola
 



[emoji121]
[emoji121]
KWA KASI HII YA #NDUGU_HARMORAPA
VERY SOON
TUNAIPIKU JAPAN KWA UCHUMI WA VIWANDA.

[emoji121][emoji121][emoji121]
 
Hamorapa naye ni MASON nini? Maana huu umaarufu unamfuata bila sababu binafsi simpendi but najikuta nakuwa shabiki wake kuna kitu anavutia watu huyu si bure..!
 
Nakumbuka siku anakwenda kwa mh NAPE huku anakunja shati lake baadae chuma kilipotoka ahahahahaaaaa
 
Haa haa haa namuelewa sana huyu dogo,yaani watanzania wote wangekuwa kama yeye basi tz ingetisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…