Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hv kaimba wimbo gani
![]()
[emoji121]
[emoji121]
KWA KASI HII YA #NDUGU_HARMORAPA
VERY SOON
TUNAIPIKU JAPAN KWA UCHUMI WA VIWANDA.
[emoji121][emoji121][emoji121]
tupia neno moja hapa kuhusu sonyo la harmorapa
alafu kweli alikua anabamba sanaSonyo??!!Hivi yule mwanamuziki Wazir Sonyo yuko wapi siku hizi?
haha style aloingia nayo na pia in reality ni wa ajabu ajabu so ni kama kivutio flani.Hamorapa naye ni MASON nini? Maana huu umaarufu unamfuata bila sababu binafsi simpendi but najikuta nakuwa shabiki wake kuna kitu anavutia watu huyu si bure..!
Basi mchawi wake yuko vizuri.haha style aloingia nayo na pia in reality ni wa ajabu ajabu so ni kama kivutio flani.
inabidi zije mapema wakati dogo bado anamaintain kiki ili azizombe kibaoo[HASHTAG]#HarmoRapa4MtvAward2017[/HASHTAG].
Itakua yupo kwao Tangaalafu kweli alikua anabamba sana