Hyo mfate kwnye matukio tu ..utampataNitampata wapi nimfundishe muziki
Labda alikuwa anaona bastola mbele yake...frankly speaking, sijaelewa iyo facial expression ya mchizi, kama anataka kulia hivi!
Kiboko ya Mabishoo...Kwani ni nani huyu?
Umeona eh?...Ha ha ha dogo ni psychopath huyu
Dogo anajua anachokihitaji...Huyu jamaa anajua sana kujipromote....
Mimi hiyo facial expression yako sielewi umeshikwa wapifrankly speaking, sijaelewa iyo facial expression ya mchizi, kama anataka kulia hivi!
frankly speaking, sijaelewa iyo facial expression ya mchizi, kama anataka kulia hivi!