Harmorapa Fans' Special Thread...

Harmorapa Fans' Special Thread...

7336cb3814fd21aed985ccb55c210a7f.jpg

Ule mwendelezo wa kuendelea kuzichanga karata zake vyema (wengine wanaita kutafuta kiki), safari hii atembelea ofisi za HabariLeo na Daily News katika kile kinachoitwa kuvitembelea vyombo vya habari...
 
Duhh huyo mshkaji aliye na Harmorapa tulikuwa nae Azania enzi hizo tukiwakongota vijana wa Jitegemee. Jamaa alikuwa mtata sana.
 
Aka kajamaa si muda ntaskia habar za uloz kutoka kwake
 
Back
Top Bottom