Rapa harmorapa amewatoa wasiwasi mashabiki wake duniani nakudai ana mpango wakuanza world tour mwezi wa saba, "hii itakuwa nafasi kwa mamilioni ya mashabiki wangu wanaopenda mziki wangu kuja kuniona nikivunja jukwaa " aliongeza rapa huyo alipofanya mahojiano na kituo cha redio 5.
Rapa huyo amesema uongozi wake wa Irene Sabuka uko kwenye hatua za mwisho na ikiwa tayari atatanganza tarehe na Kama kawaida yake alimalizia kwa kuwapa ushauri wasanii wa Madale " nawashauri wafanye mziki mzuri maana kiki za ajabu kwenye social media hazina nafasi siku hizi "
Mdau tia neno lolote la baraka kwa huyu rapa na tour yake hii.