Harmorapa Fans' Special Thread...

Harmorapa Fans' Special Thread...

Kuna kitu kikubwa sana kujifunza kwa harmorapa, tuache kufuata njia tulizozoea kila siku
Kuna msanii anaitwa Fred Saganda yule aliyeimba wimbo wa Rafael! Sijui kama kuna msanii nchi hii multitalented kumzidi huyu jamaa tena msomi, Lakini mafanikio yake hayalingani kabisa na talanta lukuki alizojaaliwa!
Si kila kitu maishani huja automatically vingine vinahitaji approach ya Harmorapa!
 
Kiboko ya mabishoo,mjini ananuka kama vile choo,lazima wamhanyeee
 
Mungu alituumba kwamfano wake unaposema mwenzio sula yake mbaya na kumcheka ina maana unamgusa mpaka bwana wa majeshi mungu.tuache hizo tumpe sapot kjana apige tour alete mbumba za kgeni tz
 
dogo anajua kutumia fursa.
msanii anatumia nguvu na muda kupata jina lakini dogo ndani ya miez tuu kashatengeneza jina kubwaaa. kweli akili kumkichwa.


jina lake haliendani na kazi.
 
Back
Top Bottom