Harmorapa Fans' Special Thread...

Harmorapa Fans' Special Thread...

Kutokana na hamorapa inanifanya kuamini kuwa kumbe kweli binadamu tulikuwa sokwe huyu ndio kaja karibuni mjini
 
bila picha ainogi
Screenshot_20170406-212711.png
 
team Hamorapa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji38]
 

Attachments

  • 1491503500166.jpg
    1491503500166.jpg
    42.8 KB · Views: 28
Kisura anafosi mambo, dah! Media zikikupandisha ujue zitakutumia na zitakushusha!
Halafu ana bahat sana,media zinamtafuta huyu Kijana.
Ni mfano wa kuigwa ametumia fursa ya kufanana na Harmonize ana make money,ukumbuke alikua muuza nguo mwenge,leo amebadili maisha yake na wategemez wake,tumuunge mkono
 
Siamini ngoja nisome upya yani mtu apande ndege toka uberigiji to tz kufanya tu colabo na harmorapa
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom