Harmorapa Fans' Special Thread...

Harmorapa Fans' Special Thread...

Sijui dogo ndo anayebuni hizi kiki au meneja wake,ila big up ye na meneja wake wametengeneza jina kwa nyimbo mbili
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Huyu jamaa kwanini asijiunge na original comedy maana anafaa kuchekesha zaidi kuliko kuimba

Mkuu be serious.....the man is making a living. Bila kumuibia wala kumdhuru mtu. The man is real my friend. Personally simjui..lakini mpaka nime google jina lake na kusikiliza some of his songs.

Hii dunia ni yetu sote. Hakuna aliye na mkataba na Mungu kwamba yeye ndo atafanikiwa peke yake. Mwache kijana atoke. Nchi ya Magufuli ngumu hii.
 
Dar es Salaam. Mwanamuziki Kriticos kutoka Ubelgiji amewasili nchini kwa ajili ya kutengeneza wimbo wa pamoja na mwanamuziki Harmorapa.

Kriticos ambaye anaimba miondoko ya kufokafoka, (rap) amesema ameupenda uimbaji wa Harmorapa na ndiyo sababu ya kuamua kufanya naye kazi.

Aliyazungumza hayo muda mfupi baada ya kutua uwanja wa ndege wa Julius Nyerere leo mchana.

Kwa upande wake Harmorapa anayetamba na wimbo wa Kiboko ya Mabishoo alisema ujio huo ni heshima kubwa kwake.

Harmorapa amewataka mashabiki wake kukaa tayari kupokea ngoma hiyo itakayotengenezwa na mtayarishaji wa muziki, P-Funk Majani.
d280b37549fda1e4d16c638c269814ac.jpg

My Take.
Harmorapa ndiyo mwanamziku bora kabisa kwa kipindi hiki na ataipeperusha vema sana bendera ya nchi yetu kimataifa. Tumuombee tu.

Source: Mwananchi.
 
Harmo rapa kiboko ya mabishoo
Huyu dogo wacha wambeze ila atafika Mbali
DR.remmy ongala alikua haimbi bali anaongeaongea tu ila mziki ulimfikisha mbali.Uwanja wa industry uwe fair,utashangaa bongo anabezwa nje anatusua like Mr Nice,hapa anaambiwa anaimba nyimbo za watoto but kenya walikuwa wanamhitaj.
Mwisho wa siku harmorappa ametengeneza ajira,hawa akina Majani wanamuandaa huyu na wakimtengeneza ata shine sana
 
Dar es Salaam. Mwanamuziki Kriticos kutoka Ubelgiji amewasili nchini kwa ajili ya kutengeneza wimbo wa pamoja na mwanamuziki Harmorapa.

Kriticos ambaye anaimba miondoko ya kufokafoka, (rap) amesema ameupenda uimbaji wa Harmorapa na ndiyo sababu ya kuamua kufanya naye kazi.

Aliyazungumza hayo muda mfupi baada ya kutua uwanja wa ndege wa Julius Nyerere leo mchana.

Kwa upande wake Harmorapa anayetamba na wimbo wa Kiboko ya Mabishoo alisema ujio huo ni heshima kubwa kwake.

Harmorapa amewataka mashabiki wake kukaa tayari kupokea ngoma hiyo itakayotengenezwa na mtayarishaji wa muziki, P-Funk Majani.

My Take.
Harmorapa ndiyo mwanamziku bora kabisa kwa kipindi hiki na ataipeperesha vema sana bendera ya nchi yetu kimataifa. Tumuombee tu.

Source: Mwananchi.
Mkuu weka kapicha
 
Mafanikio mema tunamtakia
 
Viva Hamorapa, kiboko ya wavaa milegezo.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom