HUyu dogo mkali mbona mkali sana... Mi namkubali.kama mmetumwa na team mond au kiba kwa HAMORAPA mmeshindwaaaaaaaaaa
huyu ndie kiboko ya mabishoo
mwanaume hasifiwi sura
Unanitishaaaa na picha
Eti mtakatifu anasema umefanana na huyo jamaa ni kweli?
Umepotea... nafikiri hii picha ndiyo imekufukua ulikokuwaUnanitishaaaa na picha
hivi upogo hatujaonana mdaHayo macho ameumia auu
Jirani, naomba uuthibitishie umma unanitania kabla sijatuma watekajiEti mtakatifu anasema umefanana na huyo jamaa ni kweli?
Ila sio mm nmesema jirani[emoji23] [emoji23] [emoji23]Jirani, naomba uuthibitishie umma unanitania kabla sijatuma watekaji
hata mm niliiskia hiiEti mtakatifu anasema umefanana na huyo jamaa ni kweli?
Sasa kwanini hukunitetea jirani na wakati tumechota wote maji utotoni bomba moja.Ila sio mm nmesema jirani[emoji23] [emoji23] [emoji23]
et ni kweliJirani, naomba uuthibitishie umma unanitania kabla sijatuma watekaji