Mimi mubyaaa zaidi ya huyuhahahhh nataka unijib ww
hahahaha sawa Dabyrapa nitumiepo kapicha nikuoneMimi mubyaaa zaidi ya huyu
[emoji16][emoji16][emoji16] wacha nimsaidie kuchekaKiboko ya mabishoo huyoo...View attachment 494821
Penda vitu vizuri wewe sura chungu chungu tuuhahahaha sawa Dabyrapa nitumiepo kapicha nikuone
halaf mm sura chungu ndio ugonjwa wangu bas tu husna kashawahi
hahhahah sitaki sura nzuri tutapangwa wengi acha tu nijipendee sura chungu kama ya DabyrapaPenda vitu vizuri wewe sura chungu chungu tuu
Hahahahaaaaa
hahhahah sitaki sura nzuri tutapangwa wengi acha tu nijipendee sura chungu kama ya Dabyrapa
Huyu anahitaji mafacial tu ya maana... Jua tu bado kaliPesa ikikolea sura itanyooka maana hata mondi alisemwa sana.
kwahiyo ww umetulia acha tu niendelee kupenda sura chungu [emoji23]Mmh wewe ni zaidi ya mwanamke wa 20 unasema hivyo...mbona wapo na wametulia tu? Woga wenu tu
Kwani mimi mzuri?kwahiyo ww umetulia acha tu niendelee kupenda sura chungu [emoji23]
hayo maswali wa kujibu ni husna [emoji23]Kwani mimi mzuri?
Halafu mimi sijatulia?
Muulize tuuhayo maswali wa kujibu ni husna [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Babaake mkubwa.
Huyu dogo simpendi teh sir God anisameheBasi utakuta wa hivi wanabeba watoto wakaleeee mf miss chagga au Evelyn Salt, hapo Mimi ndio huwa nachoka!
Mungu hapendi.. Usimuite binadamu mwenzako dude....Dah sijuw Harmonize anajisikiaga aje anapofananishwa nahili dude
Huyu ni mganga wa kienyeji?
Mbona hiyo picha ni kama analia...[emoji45] [emoji45]Kiboko ya mabishoo huyoo...View attachment 494821