Harmorapa Fans' Special Thread...

Harmorapa Fans' Special Thread...

Huyu dogo ndiye alikuwa anamtaka wema sepetu?

Kwanini mnashindwa kujua maumivu ya huyu dada jamani mnataka afe kwa mshituko wakitazamana usiku?
 
Hermorapa Piga kazi hata ungekuwa na sura zaidi yangu usingependwa na wote

Mapenzi hayaji na sura huja na damu
 
Back
Top Bottom