Harmo Rapa ana tikisa jiji............haya sasa kumekucha tena
hahahahaha Harmo MapenziHuyu jamaa hata kubambia hawezi hapa tumbo ndio inabambia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah nimecheka hadi basiUthigawe pathii
uyu katoka mtwara juzi, ana safari ndefu sana kuzoea mji, naona kashika hadi mdori..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]uyu katoka mtwara juzi, ana safari ndefu sana kuzoea mji, naona kashika hadi mdori..
Hahaha mkuu umetisha sana eti taka taka Mungu anakuona BUZIUsiwachanganye wahaya na takataka kama hizo... Jokes lkn
Namkubali sana harmorapper
[emoji28][emoji28][emoji28] huyu jamaa anaforce king mwisho wasiku utakuta watu wanamkubali tu hahahaha maana jamaa kajitoa ufahamu kwelikweliHahahaha... Jamaa nikimuona huwa nacheka sana,
sometimes nikikutana nae huwa najikaza tu...
Ila anatufanya angalau tunaongeza siku,
na kiutani utani tu unaezakuona jamaa anatoboa
Nd maana nkamalzia na kusema n utanHahaha mkuu umetisha sana eti taka taka Mungu anakuona BUZI
Hahaha kamlegezo kake,Huyu Harmorapa ukimfuatilia sana unaweza cheka mpaka ufe hahahahaaaa hebu cheki kamlegezo kake
Hahahaha.......Mapenzi mubashara
uyu katoka mtwara juzi, ana safari ndefu sana kuzoea mji, naona kashika hadi mdori..