Harmorapa Fans' Special Thread...

Harmorapa Fans' Special Thread...

Hivi kuna mtu ana clip ya nyimboyake hatamoja aitupie hapa niisikilize.

Maana simfahamu huyu dogo naona fasta tu kwenye media.
 
Huyu jamaa hata kubambia hawezi hapa tumbo ndio inabambia


4ecb99d8ec17bda2c07e66a76844297e.jpg
 
Hahahaha... Jamaa nikimuona huwa nacheka sana,
sometimes nikikutana nae huwa najikaza tu...
Ila anatufanya angalau tunaongeza siku,
na kiutani utani tu unaezakuona jamaa anatoboa
[emoji28][emoji28][emoji28] huyu jamaa anaforce king mwisho wasiku utakuta watu wanamkubali tu hahahaha maana jamaa kajitoa ufahamu kwelikweli
 
They, ll just use, refuse, and then abuse him. He aint reach nowhere.
 
Huyu sasa ndio mshindani wa kibakuli,hatimaye kibakuli amepata wa level yake!
 
Back
Top Bottom