OlamanyaWala usijichoshe kuweka hilo neno " jokes lakin" ndio ukwel
Unataka afanane na "maisha " yapi?,au afanane na maisha ya mbinguni au jeans zinaindicate maisha?to me this doesn't hold.Kuna kitu kinafanyika kwa kumtumia huyu jamaa, ukiangalia kwa picha tu hafananii kabisa maisha hayo... Ona jeans aliyovaa
Kila kitu ni strategy, hakunaga madarasa katika successJamani mm ananicha hoiii!! Mbavu zanguuuuu!! Anapenda awe star faster wakati wenzie wamesoteaa!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Not necessarily,Hawezi kudumu kwenye spot light kwa maana yani u star wake haujaletwa na kazi yake ya mziki.
Yani drama zake zimemfanya amekuwa na jina kubwa kuliko mziki wake na watu wengi wanamjua lakini hawajua hata wimbo wake.
Mtu ambaye ameweza mantain kwa drama ni wema sepetu sijui kama hamo ataweza maana siyo muda mrefu watu watachoka hizi drama unless zingekuwa zinaenda sambamba na kazi.
Na mpigapichaSwali nililobaki nalo,
HIZO PICHA WAMEPIGWA NA NANI??
Kwa lipi?Namkubali sana harmorapper
Batuleke bahaya ichwe kwema maki twashanangana ne bijunguOlamanya
Mnnhh.. Utadhania kapigwa ganzi...
Ilikuwaje kuaje mpaka wakamuita aje awapige wanavyonyweshana juice. Mara wanapika pamoja, tena kwa nguo tofauti tofauti,Na mpigapicha