Harmorapa Fans' Special Thread...

Harmorapa Fans' Special Thread...

Kuna kitu kinafanyika kwa kumtumia huyu jamaa, ukiangalia kwa picha tu hafananii kabisa maisha hayo... Ona jeans aliyovaa
Unataka afanane na "maisha " yapi?,au afanane na maisha ya mbinguni au jeans zinaindicate maisha?to me this doesn't hold.
 
Hawezi kudumu kwenye spot light kwa maana yani u star wake haujaletwa na kazi yake ya mziki.
Yani drama zake zimemfanya amekuwa na jina kubwa kuliko mziki wake na watu wengi wanamjua lakini hawajua hata wimbo wake.
Mtu ambaye ameweza mantain kwa drama ni wema sepetu sijui kama hamo ataweza maana siyo muda mrefu watu watachoka hizi drama unless zingekuwa zinaenda sambamba na kazi.
Not necessarily,
 
9bf3PACHA2Bwa2BHarmonize2BHarmorapa-360x210.png
 
na huyo dada anavyomkumbatia sasa hapo jikoni [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] yataka moyo!
 
Bg up rapa umefunika ile mbaya kila mtu anakufaham huku mtaani tunasubiri kazi sasa usituangushe! Uyu tayari ni maarufu hata kama mnajikuta hamumpendi na nadhani hamumpendi tu bila sababu za msingi hii ni tabia ya wanawake wengi anaweza kukwambia hampendi fulani ukimuuliza kwa nini anakwambia hamna simpendi tu,hatar ni kwamba hadi wanaume wanamchukia mchiz bila sababu lakin ni watu wangapi wametumia muda wao kuandika kumuhusu hamorapa iwe kwa zuri au baya ndo umaarufu wake ulivyomjia na mkumbuke diamond ametoka wapi hizi ni changamoto tu za maisha nadhani pia inampa moyo sana akiingia mitandaoni na kukuta mada kumuhusu yeye
 
Na mpigapicha
Ilikuwaje kuaje mpaka wakamuita aje awapige wanavyonyweshana juice. Mara wanapika pamoja, tena kwa nguo tofauti tofauti,
which means that mpiga picha alikuwa na kazi hiyo tuu ya kuwapiga picha, ili iweje?
 
Back
Top Bottom