bahati30
JF-Expert Member
- Oct 15, 2012
- 1,625
- 883
Kau..jasubiri wenye macho waje waone, aliyepiga picha Mungu anamuona kwa kweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kau..jasubiri wenye macho waje waone, aliyepiga picha Mungu anamuona kwa kweli
hahahaha[emoji28][emoji28][emoji28] huyu jamaa anaforce king mwisho wasiku utakuta watu wanamkubali tu hahahaha maana jamaa kajitoa ufahamu kwelikweli
hahahahahaHiyo picha ya mwisho kama Diamond na Zari, mwaka huu wa Harmo Rapa hakuna wa kuzuia mvua
Ohoooo!!!Basi yuko vizuri. Kafunika wasanii wa Siku nyingi. Maana kuna mmoja alisema hawezi ajiriwa ana masters lakini anaishi Ubungo Msewe.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Duh!kweli usupastaa zigo la mwiba.
Hatupumui kwa habari zake.
Kabisa mkuu mana sio kwa promo hizi.Nani yuko nyuma ya huyu kijana, kwa faida gani?.....Muda utaongea.
Ohooo!!![emoji86] [emoji86] [emoji86] [emoji86]Vijana wetu hao....mwisho wao wanaanza kula sembe.
Ndiyo huyo kwenye videoNajiulizaga xana... Huyu cjui harmorapa ndio Nani....????
Yaani maigizo kabisa!Hapo sipo kwake,...Anashika shika tu chupa za mafuta jikoni huku anashaanga shangaa tu, kama vile ndio first time kuingia kwa nyumba hiyo
Jamaa ni myao wa masasiMhaya kwenye ubora wake