Harmorapa Fans' Special Thread...

Harmorapa Fans' Special Thread...

Unajua mimi nina gari lkn thina letheni, huyu dogo anamnyima usingizi Lembabazz
 
KIKI ZA HUYU boya zinakeraaaaaaaa
ANANUKA USHAMBA kwisha kazi!
sura mbaya kama makumbi ya Nazi!

anaongea mdomo mzito kama kafungiwa koleo mdomo wa chini!
yani YUUUUUUUUUUUUUCK!
KICHEFU CHEFU PLUS PLUS!
sasa hapo kafanishwa na harmonize pumbaaavu huyu wangemfananisha na kina mwanafa sijui solo thang , jmoo ,juma nature and the like SI ANGEKUWA ANAKUNYA BARABARA ASBH MCHANA NA JIONI?
Psyuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Duh! Yote yako t....we dada utakuwa na roho mbaya aisee
 
ahahahah thatha lazima wakae wote mafanthi asanteni [HASHTAG]#Harmorapa4mtvawards2017[/HASHTAG]
 
Duh Wengine imetuchukua miaka zaidi ya 15 na hiyo idadi hatufikilii kuifikia japo kiduchu yeye kwa muda wa miezi sijui mitatu au minne ndio yupo wastan wa B kali 76? akimaliza siku kadhaa zijazo atafikia wastani wa A soon..

Tutampata Phil Lutaaya wa Tanzania soon
 
Screenshot_2017-03-08-23-51-51-1.png
@iceman3D njoo studio tupige picha
 
Kumbe harmorapa ni lijembe la uongooo sifa za kijinga ukimwi vile vile utamuhusu shauri yake
 
Kati ya wasanii ambao hawajatumia nguvu kuwa popular kwenye music industry nadhani huyu dogo nae yumo maana hadi ana special thread yake humu JF. Hope akina kalapina wataenda kuchukua reference kwa harmokick 😀😀😀
 
Kapiga Wema, Joketi, Zari, Shishi Trump, Vanessa Mdee, Jay Dee na wengine siwataji majina kwasababu ni mawaziri nisije nikawekwa ndani.
 
Back
Top Bottom