Harmorapa kuachia ngoma mpya leo "nundu", wimbo huu utafungiwa tu

Ukifungiwa ndio utapata umaarufu zaidi, watu wanapenda vinavyokatazwa..!
 
Hizi chuki zenu zitawaueni na BP... Umepandikiza chuki za ajabu juu ya jambo ambalo huna ushahidi nalo.... Acha roho mbaya ndg yangu, fanya yako upate ridhki... Mwacheni dogo atafute pakutokea hayo ni Maisha yake na wewe Fanya yako.. Mbafuuuuu
 
Pambafuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Picha hizo haziko kwenye video ni za kuunga unga xo ..sidhani km maneno yako n kwel
 
Basata wangelikua na akili wangeanza kwa kuwafungia kufanya shughuli za Sanaa kama wafanyavyo TFF wasanii wote wanaokaa uchi kuanzia mtandaoni mpaka jukwaani mfano kina Gigy money + Amba Lulu + Tunda na wenzao wote,wangefanya hili ndio ningeamini kua kweli wamasimamia maadili na wasanii wangeogopa kwa kweli
 
We jamaa lazima utakuwa mchawi.....sasa Harmorapa akifungiwa we unapata nini?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…