Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanafanana na yakohivi hayo makalio umeangalia kabisa ukaona ni ya mtanzania? hahahaha hapo wamechanganya picha tuuu
Wakuu
imetangazwa leo msanii mwenye kupenda kiki hapa jijini kuliko kazi ataachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la "Nundu" humo amemshirikisha mkongwe aliyepotea kwa muda sasa CPWAA
sina wasi na ukali wa wimbo huo ila tatizo lipo kwenye video yake, kwani ameshatoa kionjo cha wimbo huo kikiwaonesha wanawake wakiwa wazi "makalio" yao nje nje hata nyeti zao pia ukizoom ni waaaaaaaaa
sasa huyu bwana mdogo alipofikia sio pazuri, anatafuta kiki kwa lazima kwani hapa lazima atembelee Kiki toka BASATA
Kwa kionjo hiki, Basata itoe onyo kali saaana kwa huyu dogo ikiwa hata kumfungia kabisa, anashindwa kufanya kazi yeye anataka ajadiliwe tu kwa upuuzi kama huu
naomba apewe adhabu kali na iwe fundisho
kionjo tu hakifai na hakiba maadili
link hii kujionea kionjo tu
Ndio kituganiUna NUNDU nini!!?😀😀😀
Weka hapa hicho kionjo tukione kikoje.
hehehe hajui dogo anatafuta atesheni ili kichupa kikitoka muwe na hamu ya kuona nunduWewe si bure mkeo hana nundu ndiyo maana unalialia hapa
nau download kwa matumizi ya ofisini tuAisee ni bonge la ngoma...