Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
How!?Cpwaaa why this low ?
collabo na hamorapa ...nadhan cpwaa angesubir subir hamorapa akafika hata level Ya usanii maana sasa n mjasiliamali wa sanaaaHow!?
Hujielewi wewe....collabo na hamorapa ...nadhan cpwaa angesubir subir hamorapa akafika hata level Ya usanii maana sasa n mjasiliamali wa sanaaa
Mwakyembe kasema wasiimbe siasa waimbe mapenzi. kwa hiyo kufungiwa mpaka uimbe siasaHaina haja ya kupoteza muda ufungiwe tu. Umekosa maadili mno,hivi wasanii kwani wimbo hawezi kuwa wimbo mpaka wanawake wadhalilishwe kiasi hiki.?!
Ukifungiwa ndio utapata umaarufu zaidi, watu wanapenda vinavyokatazwa..!
Ukifungiwa ndio utapata umaarufu zaidi, watu wanapenda vinavyokatazwa..!
kweli mkuuPicha za kuunga unga hizo
Wakuu
imetangazwa leo msanii mwenye kupenda kiki hapa jijini kuliko kazi ataachia wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la "Nundu" humo amemshirikisha mkongwe aliyepotea kwa muda sasa CPWAA
sina wasi na ukali wa wimbo huo ila tatizo lipo kwenye video yake, kwani ameshatoa kionjo cha wimbo huo kikiwaonesha wanawake wakiwa wazi "makalio" yao nje nje hata nyeti zao pia ukizoom ni waaaaaaaaa
sasa huyu bwana mdogo alipofikia sio pazuri, anatafuta kiki kwa lazima kwani hapa lazima atembelee Kiki toka BASATA
Kwa kionjo hiki, Basata itoe onyo kali saaana kwa huyu dogo ikiwa hata kumfungia kabisa, anashindwa kufanya kazi yeye anataka ajadiliwe tu kwa upuuzi kama huu
naomba apewe adhabu kali na iwe fundisho
kionjo tu hakifai na hakiba maadili
link hii kujionea kionjo tu