Harmorapa kuachia ngoma mpya leo "nundu", wimbo huu utafungiwa tu

Nikafungua video speed nikidhani nitaona nyeti kumbe hamna bhana.... Mleta thread kweli chenga
 
Kumbe Harmorapa kick zinamfata yeye cio yy anazitafta kwa uongo huu
 
Haina haja ya kupoteza muda ufungiwe tu. Umekosa maadili mno,hivi wasanii kwani wimbo hawezi kuwa wimbo mpaka wanawake wadhalilishwe kiasi hiki.?!
Mwakyembe kasema wasiimbe siasa waimbe mapenzi. kwa hiyo kufungiwa mpaka uimbe siasa
 
Naona amefanikiwa mpaka umeamua kumleta huku
 
HIYO SASA NYIMBO AU MOVIE YA X ?

πŸ˜•πŸ˜•πŸ˜•
 
Wakiimba SIASA wenyewe WANASIASA HAWATAK.
Wakiimba mapenzi wanafungiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…