Harmorapa kuzindua website yake ya kuuza mziki

Harmorapa kuzindua website yake ya kuuza mziki

Haha MSAGA SUMU kazini.

For serious tho, waliowekeza kwa Harmorapa wanapata faida(ROI) kivipi? Jamaa anapiga shows, anauza muziki, au inakuwaje?
Wanauza magari wenzio, angalia tshet anazovaa harmorapa utaona kampuni Yao pale, sio wajinga kiasi hicho, biashara imenoga wenzio, wameoga kwa kale kadogo kanakotangaza time flan pale EPL, wanasema kanakufa hakafi watu wanaingiza mkwanja tu kuanzia hospital had timu. Watu siku hizi kwenye kutangaza kitu wanaenda mbali sana
 
Promo promo yani tunalazimishwa kumpenda harmo wakati hana uwezo kimuziki pumbavu zake
 
Back
Top Bottom