NgugiAchebe
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 1,024
- 688
Huezi kua na msanii kama juma nature, alafu utegemee, ataitoa, lebo, yako mkuu Alisha chuja na kudondoka chini kuinuka, tena nature, haezi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo na Chibu ka copy mdundo. Idea ni tofaut na usiniulize why..
Inaonyesha hamumjui msaga sumu ndio mana mnatokwa povuCopy and paste kisa tu chibu kazindua ya kwake basi kila MTU utasikia ana website yake hapa bongo ya kuuza mziki Chibu akihamishia kurekodia Mf
.video zake China wote wataenda huko yaan mpaka aibu Mimi ningengoja ipoe kidogo..
Ukwl utasimama na kitakachoongea ni muda mark my wordInaonyesha hamumjui msaga sumu ndio mana mnatokwa povu
Mzaramo baloz wa king mambo mkuu..Kwa hiyo umemaindi?!
huyo wa gombe tuuKwa hiyo umemaindi?!
We kilaza kweli..yaani umeiamini hii habari?Copy and paste kisa tu chibu kazindua ya kwake basi kila MTU utasikia ana website yake hapa bongo ya kuuza mziki Chibu akihamishia kurekodia Mf
.video zake China wote wataenda huko yaan mpaka aibu Mimi ningengoja ipoe kidogo..
Kwwma ndg yangu hatuonani siku hz, Sijui huko jukwaa gani jamaa yang?MSAGA SUMU katika ubora wake kwema lakini?
Harmo4MtvKwa hiyo umemaindi?!
[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]Watafute njia nyingne hao soon watafunga blogs zao
China c tayar jux kafanya na south co yeye wa kwanza Ay ndo alianzaCopy and paste kisa tu chibu kazindua ya kwake basi kila MTU utasikia ana website yake hapa bongo ya kuuza mziki Chibu akihamishia kurekodia Mf
.video zake China wote wataenda huko yaan mpaka aibu Mimi ningengoja ipoe kidogo..
Kabla ya Huyo Chibu Mwana Hip Hop Chindo Man Toka Watengwa ya Arusha alikua anamiliki website ya africanmusic.com na bado inasukuma mzigo kama kenyaCopy and paste kisa tu chibu kazindua ya kwake basi kila MTU utasikia ana website yake hapa bongo ya kuuza mziki Chibu akihamishia kurekodia Mf
.video zake China wote wataenda huko yaan mpaka aibu Mimi ningengoja ipoe kidogo..
Achana na Majani mkuuHuyu p fanky naona siku hizi ameishia kabisa
Produser mkubwa kama majani anaruhusu kurikodi nyimbo za matusi kwenye studio yake no aibu mkuu
YY, ndio angelikua wa kwanza kukemea, maswala ya kashfa kwenye nyimbo kumbe, hamnazo kweli
Mambo poa mkuu.Mzaramo baloz wa king mambo mkuu..
Ngoja uone mafuriko yatakavyofunguliwa sasaKabla ya Huyo Chibu Mwana Hip Hop Chindo Man Toka Watengwa ya Arusha alikua anamiliki website ya africanmusic.com na bado inasukuma mzigo kama kenya