thesym
JF-Expert Member
- Aug 15, 2012
- 3,843
- 4,796
Ndugu wala usimbishie, youtube hutoa hizo recognition ikiwa channel imefikisha subscribers 1000.Tuheshimiane basi mkuu. Yaani kiba na management yake yote hawajui jinsi ya kuwajaza ila wewe ndio unajua?! Asee yani Afrika nzima wanaojua kujaza kwa upande wa wasanii ni hao wanne tu?! Hili rungu nimelikwepa.
LEVELS ZA YOUTUBE BENEFITS
hii ya harmohuitwa GOLD button awards
UKivuka idadi ya 100k+, unaingia level ya pili mpaka 1m kuna award nyingine unapewa na ukifika 10M+ pia kuna award.
Na ili upate unatakiwa kuomba kupitia youtube kwenye link ambayo utaona maelezo mengine.
Creator Awards for Subscriber Milestones - YouTube Creators
Creators work hard on their videos, and we’re here to celebrate with Creator Award subscriber milestones. Learn more about awards for YouTubers.
Mtu mwengine ambae ameshawahi pata hiyo tuzo ni mkali wenu
Hao wasanii au watu ambao hawana hiyo tuzo na wamefikisha idadi kubwa ya subscribers maana yake hawakuomba.
Hivyo ukiomba google wanaireview channel yako baada ya wiki 4 mpaka 6 unapokea tuzo yako.
Maelezo zaidi haya hapa toka tovuti ya youtube yenyewe nA jinsi ya kuomba
Creator Awards for Subscriber Milestones - YouTube Creators
Creators work hard on their videos, and we’re here to celebrate with Creator Award subscriber milestones. Learn more about awards for YouTubers.