Harominize apewa tuzo na kampuni ya YouTube.

Harominize apewa tuzo na kampuni ya YouTube.

Tuheshimiane basi mkuu. Yaani kiba na management yake yote hawajui jinsi ya kuwajaza ila wewe ndio unajua?! Asee yani Afrika nzima wanaojua kujaza kwa upande wa wasanii ni hao wanne tu?! Hili rungu nimelikwepa.
Ndugu wala usimbishie, youtube hutoa hizo recognition ikiwa channel imefikisha subscribers 1000.

LEVELS ZA YOUTUBE BENEFITS

1565013045116.png


hii ya harmohuitwa GOLD button awards

UKivuka idadi ya 100k+, unaingia level ya pili mpaka 1m kuna award nyingine unapewa na ukifika 10M+ pia kuna award.

Na ili upate unatakiwa kuomba kupitia youtube kwenye link ambayo utaona maelezo mengine.

Mtu mwengine ambae ameshawahi pata hiyo tuzo ni mkali wenu


Hao wasanii au watu ambao hawana hiyo tuzo na wamefikisha idadi kubwa ya subscribers maana yake hawakuomba.

Hivyo ukiomba google wanaireview channel yako baada ya wiki 4 mpaka 6 unapokea tuzo yako.

Maelezo zaidi haya hapa toka tovuti ya youtube yenyewe nA jinsi ya kuomba
 
Back
Top Bottom