Harris Kapiga na utangazaji wake wa habari

Jamani jamani midomo hiyooo..Huyo Ni MTU wa Mungu Ni mtumishi.Ngoja mlaanike mshindwe kuzaaa.Hata ivyo Humu Kuna watu unbelievable Mara hatuangalii Clouds..Sasa Izo mbwembwe zake mmeoteshwa???
 
Jamani jamani midomo hiyooo..Huyo Ni MTU wa Mungu Ni mtumishi.Ngoja mlaanike mshindwe kuzaaa.Hata ivyo Humu Kuna watu unbelievable Mara hatuangalii Clouds..Sasa Izo mbwembwe zake mmeoteshwa???
Anayejua ukweli wa ndani ni Mungu kama mtu ni mtumishi wa Mungu.Kila mtu ni mtumishi wa Mungu lakini inategemea mtu anstumikaje kwenye huo utumishi.Siri ya Mungu.
 
Jamani jamani midomo hiyooo..Huyo Ni MTU wa Mungu Ni mtumishi.Ngoja mlaanike mshindwe kuzaaa.Hata ivyo Humu Kuna watu unbelievable Mara hatuangalii Clouds..Sasa Izo mbwembwe zake mmeoteshwa???
Huyo muhuni anautumishi gani...?
 
kwani ile ya clouds ni habari au vidokezo vya habari???
hakuna weledi wowote pale...
sanasana kipengele cha mwewe kidooogo ndo kinaleta mantiki...
ukitaka kuangalia habari tune ITV au Azam two...period..
 
Kali kupita yote ni kile kipindi cha mchana sijui wanakiita XXL.
Yani ni kelele tupu. Hujui hata mantiki ya vitu vinavyoongelewa.
hicho kipindi kimelenga vijana wa umri flani na ni kipindi wanachokipenda sana ndiyo maana kina wadhamini wengi yani nadhan wakigawanya vi segment hata 8 na kila segment ina mdhamini mmoja ama wawili.
kama siyo age hiyo lazima uone kinazingua
 
hata mimi vibwagizo vyake vinanikeraaa sanaaaa
 
mkuu umetoa niliyonayo Mimi moyoni
 
Bila unafiki namkubali huyu jamaa kila mtu anamapungufu yake na binafsi napenda hizo conclusion, consultation, cjui motivations huwa nasubiri mwishoni nimsikilize ...kwa maoni yangu chanel zipo nyingi sio lazima umsukilize yeye tafuta nyingine
 
Mkuu shkamoo
 
Jamaa umetisha, nakupa hadhi , you are a philosopher king
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…