Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani jamani midomo hiyooo..Huyo Ni MTU wa Mungu Ni mtumishi.Ngoja mlaanike mshindwe kuzaaa.Hata ivyo Humu Kuna watu unbelievable Mara hatuangalii Clouds..Sasa Izo mbwembwe zake mmeoteshwa???It is true yeye anajiona kama anasoma vizuri kuliko wengine kumbe anaharibu sana.binafsi suwezi kuangalia taatifa anayosoma Hariss Kapiga nahisi kama kuna kitu anakitangaza zaidi ya taarifa.Imean kama anajitangaza yeye zaidi na kutaka aonekane yeye alafu ndio taatifa ionekane .Kwakweli ana mbwembwe zinazoleta wasiwasi mpaka unafikiria huyu mwanaume anataka nini....ananyonga nyonga mdomo mara arembue ...dah clouds wana kazi.
Anayejua ukweli wa ndani ni Mungu kama mtu ni mtumishi wa Mungu.Kila mtu ni mtumishi wa Mungu lakini inategemea mtu anstumikaje kwenye huo utumishi.Siri ya Mungu.Jamani jamani midomo hiyooo..Huyo Ni MTU wa Mungu Ni mtumishi.Ngoja mlaanike mshindwe kuzaaa.Hata ivyo Humu Kuna watu unbelievable Mara hatuangalii Clouds..Sasa Izo mbwembwe zake mmeoteshwa???
Huyo muhuni anautumishi gani...?Jamani jamani midomo hiyooo..Huyo Ni MTU wa Mungu Ni mtumishi.Ngoja mlaanike mshindwe kuzaaa.Hata ivyo Humu Kuna watu unbelievable Mara hatuangalii Clouds..Sasa Izo mbwembwe zake mmeoteshwa???
hicho kipindi kimelenga vijana wa umri flani na ni kipindi wanachokipenda sana ndiyo maana kina wadhamini wengi yani nadhan wakigawanya vi segment hata 8 na kila segment ina mdhamini mmoja ama wawili.Kali kupita yote ni kile kipindi cha mchana sijui wanakiita XXL.
Yani ni kelele tupu. Hujui hata mantiki ya vitu vinavyoongelewa.
hata mimi vibwagizo vyake vinanikeraaa sanaaaaKiukweli uwa nashindwa kuelewa kwenye utangazaji habari huwa wanaelekezwa wapresent hivi au lah!!kidogo sina ujuzi huko ndugu zangu mtanisaidia.
Mara nyingi uwa akipresent habari anapenda kutoa maoni yake mwishoni.......mfano:habari ilikua ikizungumzia kuhusu wateja wa bodaboda kutopenda kuvaa helmet.....alafu mmoja wa madereva bodaboda akaulizwa kwanini huwa wateja hawavai??jibu lake likawa wateja hawapendi kwasababu wanahofia watapata maradhi kutokana na helmet kuvaliwa na watu tofautitofauti......kama kawaida harris akatoa conclusion yake kuwa kila mteja anunue helmet yake awe anatembea nayona aivae akipanda bodaboda[emoji47]
.
Eeewh!!!nikabaki nashangaa hivi inatakiwa kwelii hii!!!??na uongozi wa clouds haulioni??au kila mtu ni lazima aweke mikogo yake akihisi ananogesha kumbe analeta ucomedy
kiukweli akileta conclusion zake hizi uwa nakosa hamu ya kucheki tena habari za clouds tv......Ebu tupeane ABC kwenye uhabalishaji ndo inatakiwa hivi kweli??
mkuu umetoa niliyonayo Mimi moyoniYani hakuna msoma habari bored kama uyu please please clouds uyu jamaa kusoma habari hafai u much know umemzidi mpaka anaharibu hats kile kipindi cha gospel track na kipindi cha terminal anaongea sana mpaka radha ya kipindi inapotea yeye kila kitu anakijua na anataka watu wajue anakijua
Haingi kina masoud kipanya wao wanafanya mambo kibao mjini hapa ila haayapeleki redioni kujiexpres ila uyu jamaa dah haya kazidi mpaka anaboa tunajua huu uzi unaupitia ebu badilika
Kule kusoma habari uku unacheka cheka na kuinua inua mikono kuiga watangazaji wa BBC sure CNN acha wewe huwezi unaboa be you usige
Tabia ya kuwa kipindi cha radio unaongea weee mambo yako binafsi na kusahau kipindi kinataka nini acha unaboa unaongea sana
Nahisi pale wamekutana mashoga,mapunga na wala ngada.Kali kupita yote ni kile kipindi cha mchana sijui wanakiita XXL.
Yani ni kelele tupu. Hujui hata mantiki ya vitu vinavyoongelewa.
Mkuu shkamooHivi ile Kampeni ya Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar Ndugu Paul Makonda ya kupambana na kuwaondoa " mashoga " wote jijini inaanza lini? Mkuu mbona umesahau pia kusema kuwa huwa anapenda sana kushika peni na kuizungusha zungusha kule kunene kunene, akiipitisha katika vidole vyake huku akirembua macho yake na akitabasamu kwa bashasha kabisa?
Jamaa umetisha, nakupa hadhi , you are a philosopher kingHivi ile Kampeni ya Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar Ndugu Paul Makonda ya kupambana na kuwaondoa " mashoga " wote jijini inaanza lini? Mkuu mbona umesahau pia kusema kuwa huwa anapenda sana kushika peni na kuizungusha zungusha kule kunene kunene, akiipitisha katika vidole vyake huku akirembua macho yake na akitabasamu kwa bashasha kabisa?