Hebu itume tuone.Ni kweli lakini bado haiondoi ukweli kuwa, wakati wenzetu wakiyatafutia matatizo yao suluhisho.sisi huwa tupo bize kumuachia Mungu. Nimeisikiliza hiyo clip na kwa nilivyosoma ramani, there is still something wrong na kifesi mwenyewe
Ndivyo tulivyo watanzania, Mwizi anakaa na mchawi wakimsengenya mgawa biriani kuwa ni mdhambi zaidi yao. Mwisho wa siku Zote ni dhambi na haijalishi tunazitenda vipi.huyu kapiga kujikuta pastor kumbe agawa biriani tu???
Nenda insta kama huna connection whattsap [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].Hebu itume tuone.
Ha haHii ramadhani ya mwaka huu inabidi mtandao uzimwe vinginevyo tutakuwa tunafuturu mchana
Ukitaka mkanda wa x wa Gwajima ingia instaNimepotea njia
Hivi kwa gwajima ndio huku ?
hakikaNdivyo tulivyo watanzania, Mwizi anakaa na mchawi wakimsengenya mgawa biriani kuwa ni mdhambi zaidi yao. Mwisho wa siku Zote ni dhambi na haijalishi tunazitenda vipi.
Naile ladha yake km wine kitoko itabaki kuwa juukunywa kitoko kwa afya yako
Huyo kifesi ni mshirika ..hata sauti jinsi anavyoongea inasadifu kuwa yeye ni miongoni mwao katika waoHana hayo mambo , asingemsema lol , Ila ngoja na yeye aje tumsikie, hawa kuna kitu wanaficha ila kapiga Ndo mchezo wake huu.
Mtandao wa tigo au?Hii ramadhani ya mwaka huu inabidi mtandao uzimwe vinginevyo tutakuwa tunafuturu mchana
sema hata kama ni uwongo watu wataanza muamini maana htangu akina Konki masta wamtaje yeye mpk huyu nae aibue hilihii story haija balance sauti ya kifesi (inahisiwa) kwamba anamsimlia huyo mdada kwamba mzee baba h kp alikua anamshika mkuyenge ili awekwe kunako takoni.
Hunda h kp amezushiwa kabda ingesikika sauti yake kwamba anaomba mkuyenge wa kisura