much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 11,461
- 17,183
Hebu itume tuone.Ni kweli lakini bado haiondoi ukweli kuwa, wakati wenzetu wakiyatafutia matatizo yao suluhisho.sisi huwa tupo bize kumuachia Mungu. Nimeisikiliza hiyo clip na kwa nilivyosoma ramani, there is still something wrong na kifesi mwenyewe