Harry mahakamani huku mgawanyiko mkubwa katika familia ya kifalme ukifichuliwa

Msela Wa Kitaa

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2021
Posts
2,217
Reaction score
4,280
A number of Wednesday's front pages reflect on the Duke of Sussex's appearance in court in London challenging a Home Office decision to set the level of his personal security while he is in Britain on a "case by case" basis. "Sidelined" is Metro's headline as the paper touts a "deep royal split revealed". The paper says King Charles III flew off to Rome without seeing Prince Harry "even though he landed in Britain a whole day before".
 
Mrithi wa kiti cha ufalme baada ya Charles ni William na uzao wake
Harry atafute maisha yake
 
Akifa gafla Bin vuuu!!!!!!!!!!! Ndio mana wenye Ufalme wao awataki akae mbali nao adi Wiliam avikwe Ufalme ndio atupwe mazima!!!!
 
Kuna hatari Wiliam akiwa Mfalme uyu Harry anaweza kuuwawa !!!! lkn kwasasa wanamuitaji bado Harry!!!! Ili picha litakuwa kama yule kidiku na kakake!!!! Tutakuja kusikia kifo cha Harry chenye Utata!!!! Lkn uko mbele!!
 
Nikamuuliza AI kwa nini wanamfanyia hivi majibu yake👇👇

Sababu kuu ya Mwanamfalme Harry kuchukuliwa tofauti, hasa kuhusu ulinzi wake, inatokana na uamuzi wake na mkewe, Meghan Markle, wa kuacha majukumu yao kama Wanafamilia Waandamizi wa Kifalme mwaka 2020.

Hapa kuna ufafanuzi zaidi:

  1. Kuacha Majukumu Rasmi: Walipoacha kuwa "wanafamilia wa kifalme wanaofanya kazi," walipoteza baadhi ya haki na marupurupu, ikiwemo kiwango cha ulinzi wa polisi unaofadhiliwa na umma waliokuwa wakipata Uingereza. Kamati ya serikali ya Uingereza (inayoitwa RAVEC) inayoshughulikia ulinzi wa Watu Mashuhuri na Wanafamilia wa Kifalme iliamua kuwa kwa vile hawafanyi tena majukumu rasmi na wanaishi nje ya nchi (Marekani) wakitafuta uhuru wa kifedha, hawahitaji tena kiwango kilekile cha ulinzi wa umma kiotomatiki.
  2. Mtazamo wa Harry: Harry na timu yake wanasema kuwa ingawa ameacha majukumu rasmi, hatari dhidi yake na familia yake bado ni kubwa kutokana na hadhi yake ya kuzaliwa (kama mwana wa Mfalme) na historia yake ya utumishi wa kijeshi (ikiwemo kupigana Afghanistan). Anahisi uamuzi wa kumpunguzia ulinzi si wa haki na unamuweka hatarini anapotembelea Uingereza. Ndio maana alipeleka suala hili mahakamani.
  3. Mgawanyiko katika Familia: Kama ilivyoonyeshwa kwenye kichwa cha habari ("Deep Royal Split Revealed"), kuna mvutano na mgawanyiko mkubwa ulioripotiwa kati ya Harry na Meghan na wanafamilia wengine waandamizi, kama vile baba yake Mfalme Charles na kaka yake Mwanamfalme William. Uamuzi wao wa kujiondoa, mahojiano waliyoyafanya (kama lile na Oprah Winfrey), na sasa mzozo huu wa ulinzi, vyote vimechangia hali hii ya kutengwa au "kuchukuliwa tofauti."
Kwa hiyo, sababu rasmi inayotolewa ni mabadiliko ya hadhi yake kutoka kuwa Mwanamfalme anayefanya kazi rasmi, lakini hali hii pia inachangiwa na kuonekana kuakisiwa na mvutano uliopo ndani ya familia ya kifalme.
 
Sheria yao!!!! akifa Wiliam kabla ajawa Mfalme,, ni uyo Dogo ndio anashika Ufalme wapo makini waingeleza Sio wajinga.!!
Kama jambo huna uhakika nalo ni bora kunyamaza. As of today, Harry ni wa 5 katika nafasi ya urithi wa ufalme baada ya Prince William, Prince George, Princess Charlotte, Prince Louis, then Harry.

Na hapo aombe William asiongeze mtoto au Gorge, Charlotte, na Louis wasizae maana atazidi kusukumizwa mbali huko atausikia tu. In short, kwa list hiyo it's almost impossible kukalia kiti labda sijui litokee tukio gani.
 
Ndio maana akaona ajiweke nje ya ufalme

Hana matumaini tena, ashaukatia tamaa

Ila mke wake naona kama ndie anaempoteza zaidi
 
Kwaiyo ikiwa atakufa Wiliam kabla ajavikwa Ufalme yani Baba yupo hai !!! ulithii wa Ufalme unaenda kwa vile Vitoto vyake!!!!

Na hapo aombe William asiongeze mtoto au Gorge, Charlotte, na Louis wasizae maana atazidi kusukumizwa mbali huko atausikia tu. In short, kwa list hiyo it's almost impossible kukalia kiti labda sijui litokee tukio gani
 
Kwaiyo ikiwa atakufa Wiliam kabla ajavikwa Ufalme yani Baba yupo hai !!! ulithii wa Ufalme unaenda kwa vile Vitoto vyake!!!!
King Henry VI of England became king at eight months old after his father's death in 1422.

Hivyo unavyosema vitoto vyake, the eldest, Prince George, ana miaka 12. Akili kichwani.
 
Ndio maana akaona ajiweke nje ya ufalme

Hana matumaini tena, ashaukatia tamaa

Ila mke wake naona kama ndie anaempoteza zaidi
Kumbe hautaki ufalme sio kwa kuwa ni mbaya; no. Ni kwa kuwa nafasi ya kuupata ni finyu! Sizitaki mbichi hizi.
 
Akifa gafla Bin vuuu!!!!!!!!!!! Ndio mana wenye Ufalme wao awataki akae mbali nao adi Wiliam avikwe Ufalme ndio atupwe mazima!!!!
Ila wabongo😆😆🤣😇😇😇😇😇

Hii umeiokota wapi, maana haipo popote Uingereza
 
Sheria yao!!!! akifa Wiliam kabla ajawa Mfalme,, ni uyo Dogo ndio anashika Ufalme wapo makini waingeleza Sio wajinga.!!
Hebu tupate nukuu ya hiyo sheria uliyoisoma nasi tujiridhishe😂😂😂😆🤣😤🤓🤓
 
Kuna hatari Wiliam akiwa Mfalme uyu Harry anaweza kuuwawa !!!! lkn kwasasa wanamuitaji bado Harry!!!! Ili picha litakuwa kama yule kidiku na kakake!!!! Tutakuja kusikia kifo cha Harry chenye Utata!!!! Lkn uko mbele!!
😆😆😆😆🤣🤣😂😆😂😆😂😆😂

Hii nchi nimewavulia kofia kwa uzushi.
 
Nikamuuliza AI kwa nini wanamfanyia hivi majibu yake👇👇

Sababu kuu ya Mwanamfalme Harry kuchukuliwa tofauti, hasa kuhusu ulinzi wake, inatokana na uamuzi wake na mkewe, Meghan Markle, wa kuacha majukumu yao kama Wanafamilia Waandamizi wa Kifalme mwaka 2020.

Hapa kuna ufafanuzi zaidi:

  1. Kuacha Majukumu Rasmi: Walipoacha kuwa "wanafamilia wa kifalme wanaofanya kazi," walipoteza baadhi ya haki na marupurupu, ikiwemo kiwango cha ulinzi wa polisi unaofadhiliwa na umma waliokuwa wakipata Uingereza. Kamati ya serikali ya Uingereza (inayoitwa RAVEC) inayoshughulikia ulinzi wa Watu Mashuhuri na Wanafamilia wa Kifalme iliamua kuwa kwa vile hawafanyi tena majukumu rasmi na wanaishi nje ya nchi (Marekani) wakitafuta uhuru wa kifedha, hawahitaji tena kiwango kilekile cha ulinzi wa umma kiotomatiki.
  2. Mtazamo wa Harry: Harry na timu yake wanasema kuwa ingawa ameacha majukumu rasmi, hatari dhidi yake na familia yake bado ni kubwa kutokana na hadhi yake ya kuzaliwa (kama mwana wa Mfalme) na historia yake ya utumishi wa kijeshi (ikiwemo kupigana Afghanistan). Anahisi uamuzi wa kumpunguzia ulinzi si wa haki na unamuweka hatarini anapotembelea Uingereza. Ndio maana alipeleka suala hili mahakamani.
  3. Mgawanyiko katika Familia: Kama ilivyoonyeshwa kwenye kichwa cha habari ("Deep Royal Split Revealed"), kuna mvutano na mgawanyiko mkubwa ulioripotiwa kati ya Harry na Meghan na wanafamilia wengine waandamizi, kama vile baba yake Mfalme Charles na kaka yake Mwanamfalme William. Uamuzi wao wa kujiondoa, mahojiano waliyoyafanya (kama lile na Oprah Winfrey), na sasa mzozo huu wa ulinzi, vyote vimechangia hali hii ya kutengwa au "kuchukuliwa tofauti."
Kwa hiyo, sababu rasmi inayotolewa ni mabadiliko ya hadhi yake kutoka kuwa Mwanamfalme anayefanya kazi rasmi, lakini hali hii pia inachangiwa na kuonekana kuakisiwa na mvutano uliopo ndani ya familia ya kifalme.
Huo ndio uhalisia qa jambo sasa
 
Back
Top Bottom