Tetesi: Harry na Meghan kuja Serengeti kwa ajili ya honeymoon

Tetesi: Harry na Meghan kuja Serengeti kwa ajili ya honeymoon

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Moja ya advantage kubwa ya kuwa member wa JF .

Habari za mwanzo kabisa kutoka Windsor zinasema baada ya Prince Harry na Meghan kuangalia ni nchi gani watakaa fungate yao barani Afrika,hatimaye kwa kauli moja wamekubaliana kukaa Serengeti .

Serengeti imeibwaga mbuga kadhaa za kenya na Botswana .
 
Waje na dege kubwa tulishangae maana ujio wao ni fursa kwetu.
 
Back
Top Bottom