Tetesi: Harry na Meghan kuja Serengeti kwa ajili ya honeymoon

Tetesi: Harry na Meghan kuja Serengeti kwa ajili ya honeymoon

Kuna sehemu nmesoma wanasema wataenda Namibia au Botswana, ila uwezekano wa kwenda Namibia ni Mkubwa sababu mwaka Jana kwenye birthday ya huyo Bi dada walienda Botswana..
Leo kuna sehemu nmendoma shafih dauda kuhusu utalii anasema Antony Joshua(heavyweight boxer)wa uingereza anampango wa kuja Tanzania kwenda anataka kwenda Serengeti, anasema kama muafrika anataka kuitangaza tour yake hiyo ili na sisi tufaidike na ujio wake,alijitahidi kuwasiliana na mamlaka husika hapa nchini ila kwa bahati mbaya hakupata msaada sana hivyo kati ya watu wake alikua na namba ya shaffih hivyo akamuomba awasaidie kuarrange hiyo tour kwa hapa nyumban na kama ikiwezekana awasiliane na mamlaka za utalii waone wanasaidiaje ili na nchi iweze kufaidika na ujio wake..
My take kama ni kweli shaffih hajifagilii(watu wa clouds wanapenda sana misifa)basi kama nchi tunatakiwa kujitafakali rais unaweza kuwa na nia thabiti ila watendaji wake wakamuangusha..!!
 
Prince Harry ashawahi kuja Njombe wakati nafanyakazi kule, kuna hoteli nilikuwa napenda kula nikashanga nakataliwa kuingia karibia siku 3 bila sababu maaalum na hadi walinzi walibadilishwa, hadi wapishi..nikajikuta hamna mtu ninaemjua wote ninaowajua wamepewa off siku tatu...siku ya nne naenda ndo nkapewa taarifa Prince harry alikuepo pale ila keshaondoka jana yake.
 
Back
Top Bottom