Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hotel gani nikapige chabo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hotel gani nikapige chabo
ha hahaàWatatupa tu mkuu! Na mtazifyagia hata kwa midomo! Mi nikiokota yenye mananilii yake natangaza mnada London!! Wazungu walivyo kama rottweiler koko nnajua tu watazigombania! Sikosi £10,000/
itakuwa ma x gf yu hao...hahaa..Kunamtu amenitumia message anataka kuja Tanzania kutalii. Naona tushapata boost hapo.
Au hawa wengine ma ex gfs tu wanatafuta gia ya kurudi kwenye chati zangu.
Kumbe zina thamani hivyo namimi naunga mkiaWatatupa tu mkuu! Na mtazifyagia hata kwa midomo! Mi nikiokota yenye mananilii yake natangaza mnada London!! Wazungu walivyo kama rottweiler koko nnajua tu watazigombania! Sikosi £10,000/
Atumie ndom ya nn kwa mkewe anakula dry.Ila wasitupe tu kondomu hovyo kwenye Mbuga zetu baada ya kutumia watupe pipa la taka!
itakuwa four season tu pale mgugani serengetiMoja ya advantage kubwa ya kuwa member wa JF .
Habari za mwanzo kabisa kutoka Windsor zinasema baada ya Prince Harry na Meghan kuangalia ni nchi gani watakaa fungate yao barani Afrika,hatimaye kwa kauli moja wamekubaliana kukaa Serengeti .
Serengeti imeibwaga mbuga kadhaa za kenya na Botswana .
Naskia wamebadili dakika za mwisho mkuu,wanaenda Namibiaitakuwa four season tu pale mgugani serengeti
naam! sante kwa somo
japo hapo kwenye whether mimi nimetumia kisawe wewe umetumia main entry
Main Entry: whether
Parts of Speech: conj
Definition: either
Synonyms: if, even if, in case
hapo kwenye article sina neno ila ujue nime mnukuu jamaa ambaye tayari amesha tamka queen kwa kutumia article 'a' sikuona haja ya kuitumia tena badala yake nikapachika 'the' ila kwakua mtaalam umeon kuna mkosa/sentesi haileti matiki/imepotoka kimaana nime kubali darasa lako.
Hivi wanandoa huwa wanatumia condom?Ila wasitupe tu kondomu hovyo kwenye Mbuga zetu baada ya kutumia watupe pipa la taka!
Jamaa nasikia kalamba garasa, tena reject ya mtu kabisaMoja ya advantage kubwa ya kuwa member wa JF .
Habari za mwanzo kabisa kutoka Windsor zinasema baada ya Prince Harry na Meghan kuangalia ni nchi gani watakaa fungate yao barani Afrika,hatimaye kwa kauli moja wamekubaliana kukaa Serengeti .
Serengeti imeibwaga mbuga kadhaa za kenya na Botswana .
Serengeti inakubalika sana duniani kwa sasa,kutokana na serikali kukabiliana na wimbi la uwindaji haramu,idadi ya wanyama imeongezeka kwa kasi ya ajabu hivyo hata unapoingia kwenye mbuga hupati shida ya kuwaona na hii ni karibu vipindi vyote vya mwaka...Moja ya advantage kubwa ya kuwa member wa JF .
Habari za mwanzo kabisa kutoka Windsor zinasema baada ya Prince Harry na Meghan kuangalia ni nchi gani watakaa fungate yao barani Afrika,hatimaye kwa kauli moja wamekubaliana kukaa Serengeti .
Serengeti imeibwaga mbuga kadhaa za kenya na Botswana .
MK254 na team yake nawategemea watoe povu la kutosha hapa.Moja ya advantage kubwa ya kuwa member wa JF .
Habari za mwanzo kabisa kutoka Windsor zinasema baada ya Prince Harry na Meghan kuangalia ni nchi gani watakaa fungate yao barani Afrika,hatimaye kwa kauli moja wamekubaliana kukaa Serengeti .
Serengeti imeibwaga mbuga kadhaa za kenya na Botswana .
Watatangulia watu wata-book hotel nzima na camp za jirani kwa radius ya miles kadhaa.