Tetesi: Harry na Meghan kuja Serengeti kwa ajili ya honeymoon

Wakifika huko Serengeti ni kazi moja tu! Hakika itakuwa kazi moja. Kama rais Nicholus sakozi alivyowahi kumwambia Chancellor Angela Mikel kuhusu siku ya kuolewa kinachojiri usiku wa manane.
 
Wakifika tunawaandalia menu hii n personally ningerecommend birai sokomutu
 
asking=ask, if=whether, the=a
naam! sante kwa somo

japo hapo kwenye whether mimi nimetumia kisawe wewe umetumia main entry

Main Entry: whether
Parts of Speech: conj
Definition: either
Synonyms: if, even if, in case

hapo kwenye article sina neno ila ujue nime mnukuu jamaa ambaye tayari amesha tamka queen kwa kutumia article 'a' sikuona haja ya kuitumia tena badala yake nikapachika 'the' ila kwakua mtaalam umeon kuna mkosa/sentesi haileti matiki/imepotoka kimaana nime kubali darasa lako.
 
Acha watuletee upako wetu
Dadeki zao
 
Watatupa tu mkuu! Na mtazifyagia hata kwa midomo! Mi nikiokota yenye mananilii yake natangaza mnada London!! Wazungu walivyo kama rottweiler koko nnajua tu watazigombania! Sikosi £10,000/
Watakuwa wanandoa tayari. Kondomu za nini?Ukiniambia uzazi wa mpango wakati hawana hata mtoto ntagoma.
 
Haya, sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…