Tetesi: Harry na Meghan kuja Serengeti kwa ajili ya honeymoon

Watatupa tu mkuu! Na mtazifyagia hata kwa midomo! Mi nikiokota yenye mananilii yake natangaza mnada London!! Wazungu walivyo kama rottweiler koko nnajua tu watazigombania! Sikosi £10,000/
ha hahaà
 
Kunamtu amenitumia message anataka kuja Tanzania kutalii. Naona tushapata boost hapo.

Au hawa wengine ma ex gfs tu wanatafuta gia ya kurudi kwenye chati zangu.
itakuwa ma x gf yu hao...hahaa..
 
Watatupa tu mkuu! Na mtazifyagia hata kwa midomo! Mi nikiokota yenye mananilii yake natangaza mnada London!! Wazungu walivyo kama rottweiler koko nnajua tu watazigombania! Sikosi £10,000/
Kumbe zina thamani hivyo namimi naunga mkia
 
itakuwa four season tu pale mgugani serengeti
 

Wale wazee wa PCM PGM PCB naona hapo tumepotezwa

Zetu ni suppose, assume, let, therefore

Kwisha habari
 
Jamaa nasikia kalamba garasa, tena reject ya mtu kabisa
 
Serengeti inakubalika sana duniani kwa sasa,kutokana na serikali kukabiliana na wimbi la uwindaji haramu,idadi ya wanyama imeongezeka kwa kasi ya ajabu hivyo hata unapoingia kwenye mbuga hupati shida ya kuwaona na hii ni karibu vipindi vyote vya mwaka...
 
MK254 na team yake nawategemea watoe povu la kutosha hapa.
 
Watatangulia watu wata-book hotel nzima na camp za jirani kwa radius ya miles kadhaa.


Nipe mfano mmoja wa mahala ambapo Prince wa Uingereza au Mfalme au Malkia alikaa peke yake hoteli nzima na camp za jirani!
 
Wanabodi,

Kuna tetesi kuwa, Prince Harry na Meghan Marke wanaweza kutembelea mbuga za wanyama Tanzania. Naitazama hii kama fursa kubwa kwa taifa. Naitazama hii kama fursa ya kukuza utalii hapa nchini. Waziri Dr. Kingwangala kwa kupitia wizara yake angekomaa awakaribishe watu hao kwa manufaa ya Taifa. Wazungumze na Balozi wetu Uingereza, awaalike wageni hao waje waone Tanzania, kisiwa cha amani na utulivu.


Fanyeni namna watu hao wafike hapa nchini kukuza utalii.

Nelson,
21/05/2018
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…