Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Kampisha mwenzie walee kichanga na Yo Know WhoHahahhaja nasikia mrs you know who kapigwa benchi ... hajaonekana mda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kampisha mwenzie walee kichanga na Yo Know WhoHahahhaja nasikia mrs you know who kapigwa benchi ... hajaonekana mda
Maskini mama wa watu... kazi yake ni kumsongea you know who ugali na kisamvu...Hahahhaja nasikia mrs you know who kapigwa benchi ... hajaonekana mda
Sema mchepuko kifaa ndo mana You Know Who kachanganyikiwa mpaka kugawa precious metal kwa mchepuko asimamieMwenye mali zake kapelekwa safari ya mbali, you know who anajisevia taratibu bila wasi...
Mrs you know who ana moyo wa chuma asee...
Anamsongea wapi wakati katolewa kwenye lile mansion laoMaskini mama wa watu... kazi yake ni kumsongea you know who ugali na kisamvu...
Ila you know who namkubali sana kwa kutumia madaraka ya kulevya vizuri... maana mtu anapelekwa mashariki ya mbali huko ili yeye ajisevie mzigo kilainiii...Sema mchepuko kifaa ndo mana You Know Who kachanganyikiwa mpaka kugawa precious metal kwa mchepuko asimamie
Hahahaha kasema nani, Mange Kimambi au? LOLAnamsongea wapi wakati katolewa kwenye lile mansion lao
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hakika wakubwa wanafaidi.Ila you know who namkubali sana kwa kutumia madaraka ya kulevya vizuri... maana mtu anapelekwa mashariki ya mbali huko ili yeye ajisevie mzigo kilainiii...
Wakubwa wanafaidi sana asee
Bubu husema mambo yanapomzidia, amesema no hataki ujinga hata yule padre mkubwa kabisa ameshindwaw kumshawishi.Mwenye mali zake kapelekwa safari ya mbali, you know who anajisevia taratibu bila wasi...
Mrs you know who ana moyo wa chuma asee...
Dadangu naona U Dr. Shika unakunyemelea, siku hizi sikuelewi sanaMnakumbuka kile kitabu cha Harry Porter, basi you know who alikutana na dada kisura na walipata mtoto.
You know who is a new daddy. Ki sheria apewe wiki mbili za paternity leave ili abound na mtoto.
at least she knows her worth..Bubu husema mambo yanapomzidia, amesema no hataki ujinga hata yule padre mkubwa kabisa ameshindwaw kumshawishi.
Ngoja tumsubirie padre "balozi" wa Canada, labda ataweza kumshawishiBubu husema mambo yanapomzidia, amesema no hataki ujinga hata yule padre mkubwa kabisa ameshindwaw kumshawishi.
Aiseee... we jamaa umenichekesha mbaya sana... dah!page ya kwanza imepita kapa, ya 2 nikaunga unga mpaka kujua anaesemwa ni yule ana kichwa kibaya na kidevu kama konzi ya yuda eskarioti (akichorwa kikatuni)
Haya yote yatawekwa wazi tu.Mwenye mali zake kapelekwa safari ya mbali, you know who anajisevia taratibu bila wasi...
Mrs you know who ana moyo wa chuma asee...
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]page ya kwanza imepita kapa, ya 2 nikaunga unga mpaka kujua anaesemwa ni yule ana kichwa kibaya na kidevu kama konzi ya yuda eskarioti (akichorwa kikatuni)
Na sisi tuwe wakubwa tufaidi asee...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hakika wakubwa wanafaidi.