Harry Porter na You know Who

Harry Porter na You know Who

Someni haraka huu uzi uko ICU unaweza kukata roho dakika yeyote
Ha haa haaa...! Nimefikiria kitu km hiki na ghafla nakutana na hii comment. Nashukuru mm nimesoma michango yote mpaka nikaelewa anayesemwa..! Ukweli huu uzi haufiki saa 8 mchana...
 
page ya kwanza imepita kapa, ya 2 nikaunga unga mpaka kujua anaesemwa ni yule ana kichwa kibaya na kidevu kama konzi ya yuda eskarioti (akichorwa kikatuni)
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Back
Top Bottom