Harry Porter na You know Who

Harry Porter na You know Who

Siku hizi inasemekana hata watoto wanafaidi. Mwalimu wa darasa la tatu alimtunuku mmoja wa wanafunzi wake ili naye afaidi utamu. Huwezi jua yule Mwalimu KE darasani kwako anaweza pia kukutunuku kwa kuwa wa kwanza kwenye somo lake kila mara.
Nita dili nae sahani moja huo mwalimu KE
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mnakumbuka kile kitabu cha Harry Porter, basi you know who alikutana na dada kisura na walipata mtoto.

You know who is a new daddy. Ki sheria apewe wiki mbili za paternity leave ili abound na mtoto.
Ulishawahi leta uzi flani juzi, ile aenda kuucomment nakuta uzi umefutwa!..[emoji23]
 
Ni baada ya picha ya mama germ stones kuonekana kwa uncle akiwa bado na mzigo. Mods waliona ni hoax story.
kwahyo ndo kusema malkia wa maradhi nae alipitiwa na dhoruba akashindwa kwenda na maji akapona!?..Na vp bifu la kaka mkubwa na dada wa Taifa linatokana na nini?..
 
kwahyo ndo kusema malkia wa maradhi nae alipitiwa na dhoruba akashindwa kwenda na maji akapona!?..Na vp bifu la kaka mkubwa na dada wa Taifa linatokana na nini?..
Wale wanajuana wote ni wakupenda publicity. Kaka mkubwa alihusika na mbinu za kuweka dada Oyster Bay police. Na kumwambia wakina Kinje kuwa mtu wenu yuko ndani.
 
Mnakumbuka kile kitabu cha Harry Porter, basi you know who alikutana na dada kisura na walipata mtoto.

You know who is a new daddy. Ki sheria apewe wiki mbili za paternity leave ili abound na mtoto.
New Dad in Town....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Inasemekana eti mwanamke # 1 amemuvuzishwa kutoka kwenye nyumba ya magogo....[emoji13] [emoji13]
 
New Dad in Town....[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Inasemekana eti mwanamke # 1 amemuvuzishwa kutoka kwenye nyumba ya magogo....[emoji13] [emoji13]
Ni baada ya kile kipigo cha mbwa, alipotoka hospitali alikataa kurudi. Ilibidi apelekwe kw nabii wa kutembea na socks. Aliporudi aliweka msimamo kuwa harudi ilibidi wamtembelee padre mkubwa kabisa nako ilishindikana.

Amepewa nyumba na ulinzi na anatokea kwenye public occasions kutuzuga Wadanganyika.
 
Ni baada ya kile kipigo cha mbwa, alipotoka hospitali alipata kurudi. Ilibidi apelekwe kw na II wa kutembea na socks. Aliporudi sliweka msimamo kuwa harudi ilibidi wamtembelee padre mkubwa kabisa nako ilishindikana.

Amepewa nyumba na ulinzi na anatokea kwenye public occasions kutuzuga Wadanganyika.
Duhhh.....
 
Back
Top Bottom