Harsh Truths About the Relationships

Harsh Truths About the Relationships

Dr Chi

Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
15
Reaction score
16
1. Most boyfriends will leave if sex is taken out of the relationship.
(Wapenzi wengi wa kiume wataondoka ikiwa mahusiano hayatakuwa na mapenzi/ngono)

2. Most girlfriends will leave if money is taken out of the relationship.
(Wapenzi wengi wa kike wataondoka ikiwa pesa zitaondolewa kwenye mahusiano)

3. Some parents won't approve of relationships across different castes.
(Wazazi wengine hawakubali mahusiano kati ya watu kutoka kwenye ngome tofauti mfano tajiri na masikini)

4. The person who says "I can't live without you" will eventually be fine without you.
(Mtu anayesema “Siwezi kuishi bila wewe” ni rahisi kwake kuishi bila wewe.)

5. Attractive women often want to marry wealthy men.
(Wanawake wazuri mara nyingi wanataka kuolewa na wanaume matajiri.)

6. Wealthy men often treat love like a game.
(Wanaume matajiri mara nyingi wanachukua upendo/mapenzi kama mchezo)

7. People in love might ignore this advice until they face these issues themselves.
(Watu wanaopenda wanaweza kupuuza ushauri Hadi yatakapowatokea wao binafsi)
 
The worst thing is that....Knowledge of the aforesaid harsh truths has no impact to those in and out of relationships!
1. Most boyfriends will leave if sex is taken out of the relationship.
(Wapenzi wengi wa kiume wataondoka ikiwa mahusiano hayatakuwa na mapenzi/ngono)

2. Most girlfriends will leave if money is taken out of the relationship.
(Wapenzi wengi wa kike wataondoka ikiwa pesa zitaondolewa kwenye mahusiano)

3. Some parents won't approve of relationships across different castes.
(Wazazi wengine hawakubali mahusiano kati ya watu kutoka kwenye ngome tofauti mfano tajiri na masikini)

4. The person who says "I can't live without you" will eventually be fine without you.
(Mtu anayesema “Siwezi kuishi bila wewe” ni rahisi kwake kuishi bila wewe.)

5. Attractive women often want to marry wealthy men.
(Wanawake wazuri mara nyingi wanataka kuolewa na wanaume matajiri.)

6. Wealthy men often treat love like a game.
(Wanaume matajiri mara nyingi wanachukua upendo/mapenzi kama mchezo)

7. People in love might ignore this advice until they face these issues themselves.
(Watu wanaopenda wanaweza kupuuza ushauri Hadi yatakapowatokea wao binafsi)
 
kwa hiyo uliona ukiandika kingereza chako hicho ndo utaeleweka? Ona sasa mimi t ndo mchangiaji wako
Ni dhahiri mtu akikosa akili anakuwa mjinga sitaki unithibitishie hilo jitahidi kunywa maji mengi na pata muda wa kupumzika nimejaribu kukuelewa toka mwanzo unaweza kuishia hapo na kutafuta pengine ukashauri ahsante.
 
qmmk
 
Jina hilo umepatiwa na wazazi wako au walimwengu?? Vyovyote vile linasadifu yaliyomo

Ulianza kwa kujenga hoja nikakuelewa na nikakukumbusha ulipoanza kunishambulia.
 
Back
Top Bottom