Dr Chi
Member
- Dec 20, 2016
- 15
- 16
1. Most boyfriends will leave if sex is taken out of the relationship.
(Wapenzi wengi wa kiume wataondoka ikiwa mahusiano hayatakuwa na mapenzi/ngono)
2. Most girlfriends will leave if money is taken out of the relationship.
(Wapenzi wengi wa kike wataondoka ikiwa pesa zitaondolewa kwenye mahusiano)
3. Some parents won't approve of relationships across different castes.
(Wazazi wengine hawakubali mahusiano kati ya watu kutoka kwenye ngome tofauti mfano tajiri na masikini)
4. The person who says "I can't live without you" will eventually be fine without you.
(Mtu anayesema “Siwezi kuishi bila wewe” ni rahisi kwake kuishi bila wewe.)
5. Attractive women often want to marry wealthy men.
(Wanawake wazuri mara nyingi wanataka kuolewa na wanaume matajiri.)
6. Wealthy men often treat love like a game.
(Wanaume matajiri mara nyingi wanachukua upendo/mapenzi kama mchezo)
7. People in love might ignore this advice until they face these issues themselves.
(Watu wanaopenda wanaweza kupuuza ushauri Hadi yatakapowatokea wao binafsi)