Harufu sehemu za siri wakinadada tatizo ni nini?

Duuuh basi kama ndiyo harufu hizo mnajadili basi wakuu nyie mna tabia mbaya, yaani harufu ya papuchi ifanane na samaki aliyeoza kweli?[emoji3] hata kama mtu hajaoga vipi ila haiwezi fikia harufu ya mzoga bana acheni hizo wanaume[emoji848]
Ngoja ninyamaze, nadhan haupo serious

Ivi unadhan hayo ni yakusadikika???



Wengine hawana magonjwa, ila mnakula sana hela za watu. Alafu mnawaacha .. Mtu anaenda kukuchawia, K inakua inanuka tu muda wote.
 
Ngoja ninyamaze, nadhan haupo serious

Ivi unadhan hayo ni yakusadikika???



Wengine hawana magonjwa, ila mnakula sana hela za watu. Alafu mnawaacha .. Mtu anaenda kukuchawia, K inakua inanuka tu muda wote.
Mkuu nipo serious kabisa, hivi harufu ya mzoga unaijua vizuri? Ndiyo ifananishwe na harufu ya papuchi? Aarh

Hapo kwenye kula hela za watu hapo panaogopesha 🤔
 
hahahahaa
 
Ngoja ninyamaze, nadhan haupo serious

Ivi unadhan hayo ni yakusadikika???



Wengine hawana magonjwa, ila mnakula sana hela za watu. Alafu mnawaacha .. Mtu anaenda kukuchawia, K inakua inanuka tu muda wote.
hahahahaa

Aisee inawezekana. Demu anaweza kutupiwa lijini au lipepo la harufu mbaya ili asiolewe au kuwa na mahusiano!

Kuna visa vingi tu vya aina hii!

Kuna jamaa mmoja alirogwa akawa ananuka mavi mda wote!

Yaanii... hii kitu ya papuchi kuoza wakati mwingine inaweza kuwa ni demonic spirit kabisa na wala sio ugonjwa wa kawaida kama madokta wanavyosema!

Wanapaswa kusali na kujiombea au kuombewa!

Na pia waache umalaya maana huko ndipo penye milango ambapo mapepo wanapoingilia.
 
Hahaha ndio mkuu.

Kuna mmoja alisomeshwa na diplo, mpaka chuo kikuu mpaka kazi,

Alafu akamuacha jamaaa.

Jamaa alimtembelea Malawin
YULE DEMU ALIPATA HEDHI YA KILA SIKU BILA KIKOMO. UNAAMBIWA KILA AKITAKA KUKUTANA NA MWANAUME. BASI ANATOKWA NA DAMU ZA HEDHI.


sijui km alishapona.
 
Ushawahi msaidia mtu Wa hivyo? Mana nshawahi kutana na hii asee. Harufu unabaki nayo tu
 
Jaman ukikutana na mwanamke hivyo washaurini waende hospital watibiwe,huo ni ugonjwa msipowaambia haisaidii mtazidi lalamika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…