Harufu sehemu za siri wakinadada tatizo ni nini?

Harufu sehemu za siri wakinadada tatizo ni nini?

Unakutana na unaofanana nao, sijawahi kusikia mwanamke anaweka perfume kwenye sehemu za siri, sehemu za siri ni very sensitive na zinapaswa kutunzwa kwa uasili wake, hao wanaonuka unakutana nao wapi?

Kabisa
 
Nikisikia hizi mada nakua uncomfortable na papuchi yangu nakua sielewi harufu hii nanayoisikia ndiyo kunukia ama kunuka[emoji848] labda mtuambie mnaskia harufu gani hadi ujue hii inanuka na hii inanukia ? Why useme huyu ananuka huyu ananukia?

Unuke usijue kweli mmh
 
Harufu mbaya ni kama ya Ng'onda. Wasichana wengi ingawa siyo wote hutoa harufu kama ya ng'onda kwa sababu ya uchafu wa K na mkndu ambao unasababishwa na kutokujiswafi vizuri au unatumia tishu tu kuchamba bila maji au magonjwa ya zinaa au bacteria wanazalishwa kwenye k baada ya kuzidisha masaa ya matumizi ya pads.

Harufu hizo ni kali sana mfano ukimfanyia fingering kwenye K ile harufu hubaki kwenye vidole hata muda wa wiki 2 au 3.

Weeh acha masihara[emoji849][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yawezekana wanukao wana matatizo kama fangasi,yeast na magonjwa mengine.

Kuna ng'onda inatema inakata stimu kabisa. Hata unaagana nae harufu bado unaikumbuka hata week ipite ukikumbuka mate yanajaa mdomoni kichefu chefu.

Weeeh ni kweli?! Maajabu haya ! Sasa hiyo harufu mwenyewe haisikii au inakuaje [emoji22][emoji22][emoji23][emoji23]
 
Sio kwel unaeza kutana na mwanamk ni bonge la mcharuko lkn ni msaf mpk huwez kuamin yan kifup tu kuna wengn wananuka kwa uchafu na wengn wananuka ndio asili ya papuch zao mpk wengn wanatumia manukato ya kuingiza ndan ya papuch

Kweli kabisa
 
Nikisikia hizi mada nakua uncomfortable na papuchi yangu nakua sielewi harufu hii nanayoisikia ndiyo kunukia ama kunuka[emoji848] labda mtuambie mnaskia harufu gani hadi ujue hii inanuka na hii inanukia ? Why useme huyu ananuka huyu ananukia?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]jamani
 
Huu ni ugonjwa na unatibika tu kawaida, kwa ushauri sio vyema kujamiana na kila mwanamke unyemtamani kuna magonjwa yakuambukiza.

Nakama ni mpenzi wako mpeleke hospitali kwa matibabu.

Magonjwa ya Urinary & Fungal Infections yanatibika hata kwa tiba za asili.
KAMA UNATATIZO KAMA nitumie ujumbe nikupe ushauri
 
Hivi ulishawahi kukutana na mwanamke akivua tu chupi inatoka harufu kali lakini kikwapa ananukia manukato? Je, ulishawai kutana na mwanamke mpo faragha ile kumuweka doggy style inatoa harufu kama za dampo?...
Ile harufu huwa inasababishwa na gubu.
 
Watu design ya mtoa mada hata mademu huwa hawana.hata kutongoza hawajui..infact. Wao wana fantasize tu kuhusu sex.....na ndomana kwa kukosa kwao wanawake wanaona bora waponde tu wanawake...hyo ndo saikolojia ya watu wa design hyo.

Kwa iyo unabisha hakuna wanawake wanaonuka mzee?wewe ndo unaonekana huna experience na madem mkuu
 
Harufu inatoka kwenye maumbile ya uzazi kwa ndani ambako.kumeathirika kwa bakteria au fangas na kumekuwa sugu. Ni sawa na yule anaenuka mdomo hata apige mswaki utanuka tuu

Tatizo jingine hilo unakutana na dem ananuka mdomo balaa af dem mkaliiiii ivi hakunaga dawa mana nipo kwenye changamoto iyo
 
Daaaaah samahani dada, kwani huwa mnazifanyia vipi usafi hizo sehemu zenu muhimu kimaumbile? Binafsi naamini njia rahisi zaidi ni kitu chochote kuingia huko, na kwa hali jinsi ilivyo nachelea kuamini kama kuna kitu au kiungo chochote chenye unafuu huo zaidi ya vidole...

Mtie vidole usimtie mziki wa harufu ipo pale pale mzew
 
Back
Top Bottom