SIERA
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 2,789
- 3,413
Unakutana na unaofanana nao, sijawahi kusikia mwanamke anaweka perfume kwenye sehemu za siri, sehemu za siri ni very sensitive na zinapaswa kutunzwa kwa uasili wake, hao wanaonuka unakutana nao wapi?
Kabisa