Harufu sehemu za siri wakinadada tatizo ni nini?

Hivi kwa mwanamke anawezaje kujitambua kuwa ana harufu bila kumhusisha mtu mwingine kwenye unusaji?
 
Vingine sio mpaka unuse kule....
Unaweza ukawa unahisi hisi harufu mbaya mbaya usioielewa pamoja nanwkamba inatoka kwako.....
Ndo maana watu huwa wakienda kuoga wananusaga nguo zao za ndani[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Weee wengine hata bila kuzama kule ni noumer.
Jaman ukishagundua mwenza ana harufu isiyo ya kawaida wahini hospital akatibiwe
Ile amevua nguo tu chumba kizima ukisikia harufu yenye utata hapo hamna hata kumuingizia tena Abdalah kichwa wazi.
 
Vingine sio mpaka unuse kule....
Unaweza ukawa unahisi hisi harufu mbaya mbaya usioielewa pamoja nanwkamba inatoka kwako.....
Ndo maana watu huwa wakienda kuoga wananusaga nguo zao za ndani[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Harufu ukiishi nayo muda mrefu huwa inazoeleka
 
Hivi kwa mwanamke anawezaje kujitambua kuwa ana harufu bila kumhusisha mtu mwingine kwenye unusaji?
Daaaaah samahani dada, kwani huwa mnazifanyia vipi usafi hizo sehemu zenu muhimu kimaumbile? Binafsi naamini njia rahisi zaidi ni kitu chochote kuingia huko, na kwa hali jinsi ilivyo nachelea kuamini kama kuna kitu au kiungo chochote chenye unafuu huo zaidi ya vidole.

Ni kweli si rahisi kujigundua katika hali ya kawaida ila ukitia tu kidole huko trust me ni wazi utakiri tatizo lako binafsi la harufu isiyo ya kawaida (kwa mwenye tatizo hilo), hili nakuhakikishia kwa asilimia zote. Wenye hiyo hali wote hujijua so ukiona huelewi hiyo hali ikoje, you are safe....nb; wenye hizo hali mara nyingi wanakosa kujiamini na ndio wale mara nyingi utawasikia kazime taa kwanza, na huwa hawapendi kutiwa vidole kabisa kwa kuhofia kuchafua hali ya hewa.
Maelezo kwa hisani ya jamaa yangu hapa.
 
Mfano kwa ambae yupo vizuri kutiwa tiwa vidole kunaweza mletea tatizo hilo?
 
Bila shaka itategemea, huwezi ruhusu vidole ambavyo hujajiridhisha juu ya usafi na usalama wake kuingia ingia hovyo sehemu nyeti kama hizo...vinginevyo sioni madhara yake
 
Wapo wanaodai hata kama ni visafi
 
Mabonge wengi wako nazo ndogo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Mm naona ni maumbile tu ya mtu na mtu kwamaan km mabonge tumedate nao na vimodo tumepakua san ila nachowapendea madem modo ni wasafi aseh alaf wanajua kuvaa
 
Hivi ulishawahi kukutana na mwanamke akivua tu chupi inatoka harufu kali lakini kikwapa ananukia manukato? Je, ulishawai kutana na mwanamke mpo faragha ile kumuweka doggy style inatoa harufu kama za dampo?..
Wachafu tu hao.

Hao ndio wanasemaga uke unajisafisha wenyewe
 
Back
Top Bottom