Harufu ya asili ya mwanamke ni very Romantic kuliko ya kujipulizia pafyumu

yuda75

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2020
Posts
520
Reaction score
1,412
Kwa kweli wanawake hii kitu ngoja niwaambie zile harufu zenu ambazo huwa mnatoa kabla hamjajipulizia pafyumu huwa zinaleta hamasa kubwa sana ya mapenzi kuliko hayo mapafyumu ya gharama mnayojipulizia

Kwa kifupi nikikaa na demu ambaye hajajipulizia pafyumu kile kiharufu chake kinachotoka huwa kinanivutia sana yani kuliko nikikaa na demu anayenukia pafyumu.
 
Actually, natural seduce more

Sinukii pafyumu na wala sinuki jasho, nani anafyumu uswazi hakuna mipasho?

Kun watu watakuja kusema halufu za majasho makali waliyokutana nayo,
Lakini hata haihusiani na mada.
 
Wanaume tunatofautiana,ndio maana si ajabu kumuona mtu anaipenda pombe pamoja na uchungu wake wakati mtu mwingine yeye anajua kitu kitamu ni mpaka kiwe na sukari kama juice n.k..
 
kheee[emoji23][emoji16]...ngoja nicheke.

bado muda, subiri tu, siku sio nyingi utakuja kusema..ndio..
 
Kuna rafiki yangu mmoja daah ana kikwapa balaa....huwa najiuliza kama abajijua maana huwenda hata mimi ninacho sijijui aisee
 
Ni mvulana huyo
asije kusema hatujamwambia.

Hajakutana na harufu huyu...
Na asiombe kukutana nayo..

perfumes and body sprays zinaficha mengi sana, hongereni kwa watengenezaji wa hizi products.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…