mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 10,487
- 14,559
Nimekuelewa vizuri sana huu uchokoziVibonge wanaongoza kwa harufu hizi pendwa za asili
Nimekuelewa vizuri sana huu uchokoziVibonge wanaongoza kwa harufu hizi pendwa za asili
Jamaa bado underground sana kwenye haya mambo.Hujakutana na Harufu wewe,kausha tu mkuu..
ashukuriwe aliegundua Manukato pafyumuuuu..
Hayaa.. unaweza kuta hata mumewe hakipendi ila anavumilia tu. Kama rafiki yako mtembelee ili kama kipo umwambia akishughulikie! Unaweza kushangaa umeokoa ndoa ya Watu na ukapata mibaraka tele.Namwambiaje? Kwanza sasa hivi tunakaa mbalimbali hivyo sijui kama bado kipo au la.... Kama bado kipo na mumewe amakubaliana nacho mimi ni nani?
Kwamba ndoa inaweza kuwa hatarini kwa sababu hiyo? Kwani hakukisikia kabla hawajaoana?Hayaa.. unaweza kuta hata mumewe hakipendi ila anavumilia tu. Kama rafiki yako mtembelee ili kama kipo umwambia akishughulikie! Unaweza kushangaa umeokoa ndoa ya Watu na ukapata mibaraka tele.
Kwa mfano Asprin ni rafiki yangu lakini nilikuwa nakerwa na tabia yake ya kuimba kwa sauti akilewa, nikamchana siku moja akaacha
😡😡😡😡😡🤬Vibonge wanaongoza kwa harufu hizi pendwa za asili
Unazungumzia harufu ipi mkuu,,?Kwa kweli wanawake hii kitu ngoja niwaambie ,,,,zile harufu zenu ambazo huwa mnatoa kabla hamjajipulizia pafyumu huwa zinaleta hamasa kubwa sana ya mapenzi kuliko hayo mapafyumu ya gharama mnayojipulizia
Kwa kifupi nikikaa na demu ambaye hajajipulizia pafyumu kile kiharufu chake kinachotoka huwa kinanivutia sana yani kuliko nikikaa na demu anayenukia pafyumu.
Ndoa ikishafika miaka mitatu na zaidi ndiyo Watu wanaanza kuona mapungufu kirahisiKwamba ndoa inaweza kuwa hatarini kwa sababu hiyo? Kwani hakukisikia kabla hawajaoana?
Hahaha watajua wenyeweNdoa ikishafika miaka mitatu na zaidi ndiyo Watu wanaanza kuona mapungufu kirahisi
Fursa hiyo !! Fungua kiwanda cha kuchakata Harufu asili + jasho + kikwapa... utaweka ktk vichupa 50ml na 100ml. Bei powa!!Kwa kweli wanawake hii kitu ngoja niwaambie ,,,,zile harufu zenu ambazo huwa mnatoa kabla hamjajipulizia pafyumu huwa zinaleta hamasa kubwa sana ya mapenzi kuliko hayo mapafyumu ya gharama mnayojipulizia
Kwa kifupi nikikaa na demu ambaye hajajipulizia pafyumu kile kiharufu chake kinachotoka huwa kinanivutia sana yani kuliko nikikaa na demu anayenukia pafyumu.
🤣🤣🤣🤣Unajiongelesha tu kisa umeshiba leo.Hivi unazijua harufu wewe ama unazikia kwenye kampeni za Ccm
Niliweka uzi wenye maudhui kama haya moderator wakauondoa. Pamoja na hayo uliyoyasema nikaongezea kwamba hata zile papuchi zinazooshwa mara kwa mara wenyewe wanaona ni usafi kumbe wanapunguza ile harufu inayomtia mwanaume hamu ya tendo la ndoa.Kwa kweli wanawake hii kitu ngoja niwaambie ,,,,zile harufu zenu ambazo huwa mnatoa kabla hamjajipulizia pafyumu huwa zinaleta hamasa kubwa sana ya mapenzi kuliko hayo mapafyumu ya gharama mnayojipulizia
Kwa kifupi nikikaa na demu ambaye hajajipulizia pafyumu kile kiharufu chake kinachotoka huwa kinanivutia sana yani kuliko nikikaa na demu anayenukia ile pafyumu.
Kibonge mambo?[emoji6][emoji6][emoji6][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji2959]
Kwa kweli wanawake hii kitu ngoja niwaambie ,,,,zile harufu zenu ambazo huwa mnatoa kabla hamjajipulizia pafyumu huwa zinaleta hamasa kubwa sana ya mapenzi kuliko hayo mapafyumu ya gharama mnayojipulizia
Kwa kifupi nikikaa na demu ambaye hajajipulizia pafyumu kile kiharufu chake kinachotoka huwa kinanivutia sana yani kuliko nikikaa na demu anayenukia pafyumu.
Niliweka uzi wenye m
Niliweka uzi wenye maudhui kama haya moderator wakauondoa. Pamoja na hayo uliyoyasema nikaongezea kwamba hata zile papuchi zinazooshwa mara kwa mara wenyewe wanaona ni usafi kumbe wanapunguza ile harufu inayomtia mwanaume hamu ya tendo la ndoa.
Huku vijijini zipo k natural, zinapigwa maji mar moja kwa siku. Usiombe ukakutana nayo ya hivyo, afu demu mwenyewe awe fundi..... Sikuambii nini utakachokutana nacho.
Naam,hata mimi najipenda wakati mwingine kujisikia nanukia kiasili...so sweeeeeeet indeed.